Zanzibar Kujenga Nyumba Maalumu Kumuenzi Karume.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itajenga nyumba maalumu kwa ajili ya kumbukumbu ya kumuenzi aliyekua mwanamapinduzi na Rais wa kwanza wa Zanzibar hayati Abeid Amani Karume.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameyasema hayo wakati akiwapokea vijana walioamua kutembea kwa miguu kutoka maeneo ya Mwera mkoani Magharibi kwenda wilaya ya Mjini siku ya kumbukumbu ya Karume.

Dk Shein ameongeza kua,
serikali imeshaanza juhudi mbalimbali za kuwaenzi viongozi wa visiwa
hivyo ikiwa kama mchango walionyesha wakati wa enzi za uongozi wao.

0 comments:
Post a Comment