Mgombe
nafasi ya uraisi wa shirikisho la soka duniani FIFA Luís Filipe Madeira
Caeiro Figo amepasua ukweli wa unafiki uliokithiri barani Afrika
kuelekea katika uchaguzi wa uraisi utakaofanyika mjini Zurich nchini
Uswiz mwezi ujao.
Figo ambaye anaonekana kuwa mpinzani wa karibu wa Joseph Sepp Blatter katika kinyang’anyiro cha uraisi wa FIFA, amepasua ukweli huo alipozungumza na vyombo vya habari wakati wa mkutano mkuu wa CAF ambao jana uliamua nchi ya Gabon kuwa mwenyeji wa fainali za Afrika za mwaka 2017.
Figo amesema baadhi ya viongozi wa soka barani Afrika wamekua wakisambamba propaganda kwa viongozi wenzao na kuwahimiza wampigie kura Blatter, jambo ambalo limemkera sana yeye kama mgombea.

0 comments:
Post a Comment