wasanii wa kike wenye mkwanja mrefu

Author
Jarida la Forbes jana limetoa orodha ya wasanii wa kike waliotengeneza mkwanja mrefu zaidi ndani ya mwaka 2014. Nafasi ya kwanza amekamata mwanadada Beyonce ambaye ameingiza kiasi cha $115m, Taylor Swift ameingiza $64m, Pink ameingiza $54m, Rihanna ($48 million), Katy Perry ($40 million), Jennifer Lopez ($37 million), Miley Cyrus ($36 million, Celine Dion ($36 million, Lady Gaga ($33 million), na anayeifunga Top 10 ni Britney Spears ($20 million)......"

0 comments:

Post a Comment