Beyonce na Rihana ndani ya ujio mpya

Author
Collabo la Beyonce na Rihanna inakuja na ngoma inaenda kwa jina la Cherry.... Beyonce ambae anatarajia kurelease album yake mpya novemba 14 kwenye itunes na novemba 25 cd zitakuwa mitaani tayari itakuwa na ngoma hio akiwa amemshirikisha mwanadada Rihanna... Hivi apo nani atamfunika mwenzie labda??

0 comments:

Post a Comment