KIMENUKA

Author
“Sugu ni mtu gani kwangu mimi hata nimtafute? Nikitaka kuongea na CHADEMA nitamtafuta (Freeman) Mbowe au (John) Mnyika na si Sugu, hata sijui tulikutana wapi na yeye
hadi akadai mimi niliomba anipigie kura ili niwe Mwenyekiti wa Bunge la Katiba,” alisema Sitta.
Amejibu hayo baada ya Sugu kudai kuwa alimtafuta yeye ili ashawishi vijana wa upinzani wampigie kura, hivyo angepitisha mambo mengine pamoja na serikali tatu walizotaka wapinzani akiwa Mwenyekiti.
Nini mtazamo wako hilo?

0 comments:

Post a Comment