Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) Imetangaza rasmi viingilio vya mchezo wa Jumapili kati ya Simba sc dhidi ya Dar Young Africans mchezo utakao pigwa katika dimba la Uwanja wa Taifa kuanzia majira ya saa 10 jioni.
Mchezo huo utachezeshwa na mwamuzi Martin Saanya kutoka Morogoro,akisaidiwa na Soud Lila(DSM),na kamisaa atakuwa ni Ame Sentimmeya (DSM)
Viingilio vya mchezo huo ni:
VIP A - 40,000
VIP B - 30,000
VIP C - 20,000
Rangi ya machungwa(Orange) - 10,000
Rangi ya Bluu na kijani - 70,00
Tiketi zitaanzwa kuuzwa leo Jumamosi saa 2 kamili katika vituo vya:
Karume (Ofisi za Tff)
Mgahawa wa Steers(Posta Mpya)
OilCom(Buguruni)
BigBon(Kariakoo)
OilCom(Ubungo)
Dar Live(Mbagala)
Uwanja wa Uhuru
Kivukoni(Ferry) na
Makumbusho(kituo cha Mabasi)
Magari yenye vibali maalum ndiyo yataruhusiwa kuingia ndani ya Uwanja siku ya jummapili kwa kupitia Barabara ya Mandela na Uwanja wa Uhuru.,Barabara ya Chang'ombe itafungwa kuanzia saa 12 asubuhi.
TFF inawaomba wapenzi,mashabiki na wadau wa michezo kununua tiketi katika vituo vilivyotajwa ili kuepuka kuuziwa tiketi bandia,ili kuimarisha ulinzi na Usalama katika mchezo huo,mashabiki wenye mabegi,Silaha,vilevi na Chupa hawataruhusiwa kuingia navyo uwanjani.

0 comments:
Post a Comment