MAAJABU 20 KUHUSU AFRIKA.!

Author


1. Nchi ya Gambia ina chuo kikuu kimoja
tu
(The University of Gambia).
2. Equatorial Guinea ni nchi pekee Afrika
ambayo lugha yake ya Taifa ni Kispaniola
(Spanish). Hakuna nchi nyingine Afrika
inayozungumza Kispaniola.
3. Afrika kusini ndiyo nchi inayotembelewa
na wageni wengi zaidi kuliko nchi zote za
Afrika.
4. Nigeria ndio nchi yenye matajiri wengi
weusi kuliko nchi nyingine za Afrika (richest
Black people).
5. Samuel Eto’o ndiye mchezaji anayelipwa
ghali zaidi kuliko wachezaji wengine kutoka
Afrika. Analipwa Euro 350,000 kwa wiki
(sawa na shilingi milioni 980,000/=). Kwa
lugha rahisi ni kwamba mshahara wa
Et'oo
wa wiki 7 unalingana na pesa zote alizoiba
Rugemalira kupitia Escrow na kugawia kina
Tibaijuka na Ngeleja.
6. Raia kutoka Nigeria anaitwa Nigerian,
Raia
wa Niger anaitwa Nigerien na raia wa
Burkina Faso anaitwa Burkinabe.
7. Nigeria imeshinda vikombe vingi vya
soka
kuliko Uingereza (England).
8. Ethiopia na Liberia ni nchi pekee Afrika
ambazo hazijawahi kutawaliwa. Italia
ilipojaribu kuitawala Ethiopia iliishia
kupigwa
vibaya na ikassurender.
9. Kabila la Limba huko Zambia, mama wa
mvulana ndiye anayemtafutia mwanae
binti
wa kuoa. Mama ndiye anayemuapproach
binti, na kulipa mahari kabla hata binti
hajamuona kijana mwenyewe.
Kinachotakiwa
ni binti kumkubali mama tu.. Ukimkubali
mama means umemkubali na mwanae.
So
mwanae utakutana nae kwenye harusi,
mambo mengine kabla ya harusi anafanya
mama yake.
10. Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe
ndiye
Rais msomi zaidi duniani. Ana degree 7
alizozisomea ktk vyuo vikuu mbalimbali,
mbili
kati ya hizo ni Masters.
11. Zinedine Zidane aliwahi kurudi nchi
yake
ya asili Algeria ili aichezee kwenye
mashindano ya kimataifa. Alipofika waziri
wa
michezo wa Algeria, Abdelmalek Sellal
akamwambia "tuna wachezaji wengi
wazuri
kuliko wewe na hawajapata nafasi kwenye
kikosi. Labda tungeruhusiwa kucheza zaidi
ya
11 uwanjani ungeweza kubatika kupata
namba"
12. Robert Mugabe ndiye Rais mzee zaidi
duniani. Anashikilia rekodi kwa kuwa na
umri
wa miaka 91 akifuatiwa na Shimon Peres,
Rais wa Israeli mwenye miaka 90.
13. Shelisheli (Seychellois) ndio nchi ya
kwanza duniani ambayo raia wake
wameelimika kuliko nchi nyingine.
Inakadiriwa kuwa asilimia 91.9% ya watu
wake wana elimu ya sekondari na
kuendelea.
(Tanzania wenye elimu ya sekondari na
kuendelea ni asilimia 13.5 kwa mujibu wa
HakiElimu.)
14. Mauritius ndiyo nchi pekee Afrika
inayoingiza fedha nyingi kupitia utalii wa
fukwe (Beach Tourism). Mwaka 2013
iliingiza
takribali shilingi trilioni 4.5 kupitia utalii wa
fukwe. Tanzania tuliingiza shilingi bilioni
1.7
kupitia Utalii wa fukwe mwaka huohuo.
15. Rwanda ndiyo nchi pekee yenye usawa
wa kijinsia kuliko nchi zote duniani (Bunge
la
Rwanda ni 50% wanaume na 50%
wanawake).
16. Ethiopia ndio nchi pekee Afrika yenye
viwanja vingi vya ndege vyenye hadhi ya
kimataifa (International Airports). Ina
viwanja
vya ndege 23 vyenye hadhi ya kimataifa.
(Tanzania tuna viwanja vya ndege vitatu
vyenye hadhi ya kimataifa (JNIA-Dar, KIA-
Moshi, na Songwe-Mbeya).
17. Uchumi wa Ethiopia unakua kwa kasi
kuliko Uchumi wa China. Uchumi wa
Ethiopia
(GDP) unakua kwa wastani wa 18.7% kwa
mwaka, China GDP inakua kwa wastani wa
11.4% kwa mwaka (according to the World
bank fact sheet, 2014)
18. Rais wa Eritrea Isaias Afwerki ndiye Rais
Maskini kuliko wote Afrika. Analipwa
mshahara wa Dola 500 za kimarekani ($
500)
sawa na Shilingi 945,000/=. Hiki ni kiwango
kidogo cha mshahara kuliko daktari wa
mfunzo nchini Tanzania (Intern Doctor).
19. Angola ina watu wengi wanaoongea
Kireno kuliko Ureno kwenyewe. Angola ina
watu milioni 22 na wote wanaongea
Kireno,
lakini Ureno ambao ndio wenye lugha
wana
watu milioni 10.7 tu.
20. Somalia ilipata mashine yake ya kwanza
ya ATM tarehe 7, October, 2014. Kabla ya
hapo hakukuwa na ATM yoyote nchini
Somalia.

0 comments:

Post a Comment