matokeo ya barani ulaya

Author
Timu ya Man United imepoteza mchezo wake wa ligi kuu ya England baada ya kuchapwa mabao 2-1 na Swansea City, Liberty Stadium.
Man united ndiyo walioanza kufunga kupitia kwa Ander Herrera dakika ya 28 lakini Swansea wakasawazisha dakika ya 30 kupitia kwa Sung-Yueng Ki na kupata bao la ushindi dakika ya 73 kupitia kwa Jonjo Shelvey.
Matokeo ya mechi nyingine zilizomalizika hivi punde ni haya:-
Aston Villa 1 - 2 Stoke City
Chelsea 1 - 1 Burnley
Crystal Palace 1 - 2 Arsenal
Hull City 2 - 1 Queens Park Rangers
Sunderland 0 - 0 West Bromwich Albion
Swansea City 2 - 1 Manchester United
Manchester City 5-0 Newcastle United
 Tottenham Hotspur 2 - 2 West Ham United
Everton 2 - 2 Leicester City
Southampton 0 - 2 Liverpool
Sasa Man United imeshushwa hadi nafasi ya 4 ikiwa na point 47 na Arsenal imepanda hadi nafasi ya 3 ikifikisha pointi 48.
Nchini Hispania Barcelona imechapwa bao 1-0 na Malaga ikiwa nyumbani. Bao la Malaga limefungwa na Juanmi kunako dakika ya 7.
Licha ya Barca kupitia kwa nyota wake Messi, Suarez na Neymar kupigana kwa nguvu zote, lakini hadi mwisho wa mchezo
Barcelona 0 - 1 Malaga.
 
 

0 comments:

Post a Comment