
Ronaldo mwenye umri wa miaka 29 ametwaa tuzo ya ilani ya kifahari katika sherehe Estoril kama sehemu ya maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 100 ya FPF.
Ronaldo ni mmoja kati yawachezaji watatu tu wa Kireno walioweza kuongoza timu ya taifa zaidi ya mara 100 wengine - Figo na Fernando Couto - na ni mfungaji bora wa wakatiwote wa nchi yake
Nyota huyo wa zamani wa Manchester United amewakilisha Seleccao katika mashindano sita makubwa (Euro 2004, 2008 na 2012 pamoja na Kombe la Dunia 2006, 2010 na 2014), akifunga angalau mara moja katika kila mashindano.
Rais wa Fifa Joseph Blatter na Rais wa UEFA Michel Platini walikuwa miongoni mwa watu waliohudhuria kuona Ronaldo akitangazwa kama mshindi wa tuzo, lakini Ronaldo mwenyewe hakuhudhuria sherehe hizo kutokana na Real Madrid mechi ya Copa del Rey na Atletico Madrid katika Santiago Bernabeu.
Meneja wa Chelsea Jose Mourinho alitangazwa kuwa kocha bora wa wakati wote wa Kireno katika sherehe hiyo ktokana na mafanikio yake na Porto, Chelsea, Inter na Real Madrid.
FPF pia alitangaza kikosi bora cha muda wote cha Ureno XI, na Ronaldo kama mshambuliaji sambamba na Eusebio.
kikosi cha muda wote cha Ureno XI: Vitor Baia, Fernando Couto, Germano, Humberto Coelho, Ricardo Carvalho, Coluna, Figo, Rui Costa, Ronaldo, Eusebio, fut
0 comments:
Post a Comment