Kuna fununu kuwa Cristiano Ronaldo ametengana rasmi na mlimbwende muonesha vivazi Irina Shayk

Author

Kuna fununu kuwa Cristiano Ronaldo ametengana rasmi na mlimbwende muonesha vivazi Irina Shayk aliyekuwa mpenzi wake, hili lina pata ithibati baada ya kuonekana Irina ameacha kumfuata Ronaldo katika ukurasa wa Twitter.
Fununu za kuachana kwao zilianza kuzagaa mapema wiki hii kwamba wawili hao wametengana kwa kisa cha Irina kushindwakuonekana kwenye tukio la kupokea tuzo za Ballon d'Or usiku wa jumatatu ambapo Ronaldo alikuwa mshindi wa jumla.



0 comments:

Post a Comment