Kikao cha Kamati Kuu ya CCM iliyokutana jana mjini Zanzibar na kuongozwa na mwenyekiti wake Dkt Jakaya Kikwete kimeazimia mambo yafuatayo (kwa uchache):-
1. Serikali itekeleze maazimio yote 8 ya Bunge kuhusu sakata la Escrow.
2. Kamati ya Maadili ikutane Tarehe 19 Mwezi huu kuwajadili na kutoa
maamuzi waliohusika na sakata la Escrow walioko kwenye vyombo vya
maamuzi vya chama.
3. Mwezi Februari mwaka huu, Kamati Kuu ikae tena kupitia adhabu za wanachama wake Sita waliokuwa wakituhumiwa kujihusisha na kampeni kabla ya wakati, Kamati iangalie kama walitekeleza adhabu, na atakayebainika kukiuka achukuliwe hatua zaidi.
(Wanachama hao ni Lowassa, Membe, Sumaye, Makamba, Ngeleja na Wassira)
4. Pia Kamati Kuu imetoa Kalenda ya kuanza kuchukua fomu kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali.

0 comments:
Post a Comment