Marafiki Club-9
Ilipoishia..
"hapana kwani ni nani?"
Aliuliza Roy kwa shauku kubwa uku anasubiri Husna amjibu na mda huo Roy hasira zilianza kumpanda.
Endelea..
Husna alivuta pumzi kidogo akamwambia
"yule ni baba yangu"
"waat,,na pale ni wapi?"
"utajua tu wala usiwe na haraka"
alijibu Husna kwa sauti ya upole sambamba na kum'busu Roy shavuni.
Roy alisisimka sana alipopigwa busu lile ukizingatia ilikuwa majira ya asubuhi,waliangaliana kwa sekunde kadhaa,taratibu Roy akasogeza mdomo wake kwenye chuchu ya Husna upande wa kushoto akaibusu na kuanza kuinyonya kwa staili kama anaing'ata kwa kutumia lips zake mda huo Husna bado yupo juu Roy chini,Husna alilegea akamkumbatia na kusogeza mdomo wake kwenye sikio la Roy akawa anaongea kwa kunon'gona akisema
"nakupenda Roy wangu,,aashsh,,nakupenda"
Roy aliendelea na zoezi lile uku mikono yake inatalii kwenye mapaja malaini ya husna kuelekea kule kwenye 'ikweta' binti yule akawa anatanua miguu taratibu kuruhusu mkono wa Roy ufanye kazi yake kiurahisi zaidi huku analalamika kimahaba.Kwa kuwa walikuwa kama walivyozaliwa Roy alitupa shuka kando Husna akapanda juu akaiweka lolipop ya Roy kwenye utam wake akaanza kuukalia taratibu uku anauma lips zake na macho ameyafumba anasikilizia Raha.
Baada ya kumaliza walikumbatiana kila mmoja akawa anamshukuru mwenzake kwa mchezo ule.Katikati ya maongezi yao Husna alimwambia Roy ya kwamba kuna adhabu baba yake alimpa hivyo anamuomba amsaidie,Roy aliamka akaketi kitandani kwa uwoga kisha akamuuliza ni adhabu gani,Husna alimsogelea Roy akamwambia..
"naomba usishtuke wala usiogope"
"wewe niambie ni adhabu gani naweza kukusaidia mimi?"
"baba jana alinipiga sana kwa kitendo cha mimi kukuruhusu wewe unitoe usichana wangu wakati kuna mchumba alishaandaliwa kwa ajili yangu"
"kama ulikuwa na mchumba kwa nini hukuniambia"
"sikumpenda,ni kaka mmoja wa kiarabu anaeishi pakinstan,sasa baba ameniambia ili anisamehe na kuniacha huru niishi mimi na wewe,anataka watoto wachanga 50 wa miezi mitano kushuka chini"
Roy alishtuka sana aliposikia maneno yale kutoka kwa Husna,alishika kichwa akasema
"Ooh Mungu wangu maisha yangu ndio yanaisha kwa stahili hii kweli?"
alilalamika na kuanza kulia kwa uchungu kwani aliona maisha yake yakipeperuka kama Tiara na kupotea kabisa.Husna alimwambia asiogope watasaidiana na alimwomba Roy kila wiki ahakikishe anafanya mapenzi na wasichana wawili tofauti,wasichana hao watabeba mimba na ikifikisha miezi miwili Husna kwa nguvu zake atazichukua na mimba zitaonekana zimeaharibika,msichana hatakufa ila uwezo wake wa kuzaa kwa mara nyingine utakuwa ni mdogo.
Roy alimsikiliza Husna kwa makini lakini hakukubali kufanya kitendo cha kikatili kama kile,walianza kunishana lakini Husna akamwambia
"Siku ile unakumbuka ulinitoa usichana wangu,pale ni damu iliyomwagika au maji?"
"ni damu ila mimi siwezi ku.."
"ishia hapo hapo,kama ni damu,sasa baba ndio anataka hiyo damu irudi na amesema tukifanikisha ataninyang'anya nguvu nilizonazo na nitakuwa huru kuolewa na wewe"
"je nikikataa?"
"tutakufa Roy,nisaidie nakupenda sitaki tufe"
aliongea Husna uku machozi yanatitirika kweny mashavu yake.
Wakati wanaendelea kubishana pale chumbani Simu ya Roy iliita na alipoangalia Shangazi yake ndio alikuwa anampigia. Alipokea wakasalimiana Roy akamwambia Shangazi kuwa kuna kazi amepata mkoani kilimanjaro ila jumamosi atarudi nyumbani,Shangazi alimsihi awe makini pia akamwambia yeye kwa wakati ule yupo Hosptalini amelazwa usiku wa jana yake.
Roy alishtuka sana akampa pole Shangazi yake na kumwambia ataomba ruhusa kazini na mchana wa siku hiyo ataenda kusalimia.
Alimaliza kuongea na Shangazi yake na kumweleza Husna hali halisi ya nyumbani,Husna alimpa pole na kumwambia
"mpenzi we mwongo unasema upo kazini"
"sasa ningesema nipo wapi siku zote hizo,nataka niende nikamsalimie shangazi yangu leo"
"huwezi kwenda peke yako mpenzi naenda na wewe pia akajue ukweli kuwa tunapendana na tunatarajia kuoana"
Roy alicheka kivivu akamkubalia,Waliamka wakaingia bafuni na baada ya kujiandaa wakamuaga Mariam kuwa wanatoka ila hawakumwambia ni wapi hasa wanapoelekea.Walipitia mjini wakamnunulia Shangazi zawadi mbali mbal na safari ikaanza,Wakiwa ndani ya gari Roy bado alikuwa anawaza maneno Husna aliyomwambia ya kutembea na wasichana wawili tofauti kila wiki,Aliona ni kazi kubwa sana inayohitaji umakini wa hali ya juu na mpaka wakati ule bado alikuwa njia panda kwani wazo la kutoroka na kurudi kwao kenya ilishaanza kuitawala kichwa chake.
Husna aliendelea kuendesha gari kwa mwendo wa kawaida huku anamwongelesha Roy aliekuwa kwenye dimbwi la mawazo.
Walifika hosptali wakakuta mgonjwa ameruhusiwa muda mfupi uliyopita hivyo wakaelekea nyumbani.Shangazi alifurahi kuwaona pia alifurahi kwa zawadi alizonunuliwa.Kwa kuwa shangazi alikuwa peke yake Roy alimwonyesha Husna jiko lilipo na na kumwambia akapike.Shangazi alipinga lakini baada ya Husna kukubali alimruhusu.
Husna alipoelekea jikoni,Roy alimwona shangazi yake akionekana kama ana wasiwasi,na alipomuuliza tatizo hakujibu..Aliinuka akamsogelea ili ajue tatizo ni kitu gani kwani Shangazi midomo ilikuwa inamtetemeka kwa Hasira...
Itendelea

posted from Bloggeroid
0 comments:
Post a Comment