Rais
wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete
amemteua Profesa Justice Ibrahim Juma kuwa mwanasheria mkuu wa serikali
(AG).
Uteuzi
huo umefuatia baada ya aliyekuwa mwanasheria mkuu Frederick Werema
kutangaza kujiuzulu kutokana na skandali ya mabilioni ya akaunti ya
Escrow.
Mapema
mwezi huu Rais Jakaya Kikwete pia alimteua Profesa Juma Assad (CAG)
kuwa mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali baada ya Ludovick Utouh
kumaliza muda wake

0 comments:
Post a Comment